Diski hifadhi ni sehemu ya muhimu sana kwa mtumiaji wa komputa mwenye data nyingi za kubeba au kuhifadhi, zipo za makundi mawili zile za nje na zile za ndani. Leo swahilitech tunakuletea orodha ya diski hifadhi 5 bora kwa mwaka 2015.

seagatebackupplusslim-650-80

Orodha hii ni kwa mujibu wa tovuti maarufu ya habari za teknolijia ya techradar na zimepangwa kulingana na ubora na bei ya kila diski hifadhi .

  1. Seagate Expansion

samsungm3-650-80

2. Samsung M3

samsung3

3. WD My Passport Ultra

transcendstorejet-650-80

4. Transcend StoreJet 100

transcendstorejet25m3-650-80

5. Transcend StoreJet 25M3

seagatebackupplusslim-650-80