Utagundua tofauti kubwa sana pale unapoangalia muvi za wenzetu na muvi za wabongo hasa zenye mapigano (action movies). Tusilaumu sana waandaji wetu wa muvi kwani bajeti na teknolojia ya hali ya juu inahitajika ili kufikia walipo wenzetu.

Angalia hapa nyuma ya pazia ya muvi ya Fast and Furious 7.