tanesco

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI NA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini Kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE: Jumanne Juni 7, 2016

MUDA: Saa 3:00 Asubuhi mpaka Saa 10:00 Jioni

SABABU:
Kuzimwa kwa laini za Masaki (MS 1 na MS 3), kwa ajiri ya kuhamisha laini ya Msongo wa 11 KV na kupisha ujenzi wa laini mpya ya Msongo wa 33 KV inayotoka Makumbusho kwenda Masaki ili kuboresha hali ya upatikanaji umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi ya maeneo ya Masaki, Msasani, Oysterbay pamoja na maeneo ya jirani, Eneo lote la KuraSini, Mbagala yote, Mtoni Mtongani, kwa Azizi Ally na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika,

Toa taarifa kupitia simu zifuatazo, Kinondoni Kaskazini dawati la dharura 0784 768 584, 0716 768 584 au Kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

IMETOLEWA NA:-
OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU