Mtandao

Kivinjari cha Opera kimekuja na huduma ya Low-Power Mode, inayoweza kuongeza uhai wa betri lako mpaka 50%

Watengenezaji wa kivinjari cha Opera (Opera Browser) wametoa toleo jipya la kivinjari hicho lenye huduma ya kupunguza matumizi ya betri mpaka asilimia 50 ukilinganisha na kivinjari cha Google Chrome kama…
Soma Zaidi...
Jipige Tafu

Kila kitu unachotaka kufahamu kuhusu Virusi vya Kompyuta na Jinsi Programu za Antivirus zinavyofanya kazi kuvidhibiti

Kila mmoja wetu hasa kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta au simu za kisasa (smartphones) utakuwa sio mgeni wa software (zanatepe) za antivirus. Kama jina linavyojieleza software hizi ni maalumu…
Soma Zaidi...
TV

Samsung waja na Friji (Refrigerator) lenye Tv ya inchi 21.5 itakayokuwezesha kufurahia movie wakati unapika

Samsung wameachia rasmi toleo la friji (jokofu) lenye Tv ya inchi touch screen  likiwa na uwezo wa kuvinjari mtandaoni, kuonyesha muvi na kuonyesha tarehe za kuharibika kwa bidhaa zilizomo ndani…
Soma Zaidi...