Jipige Tafu

Kila kitu unachotaka kufahamu kuhusu Virusi vya Kompyuta na Jinsi Programu za Antivirus zinavyofanya kazi kuvidhibiti

Kila mmoja wetu hasa kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta au simu za kisasa (smartphones) utakuwa sio mgeni wa software (zanatepe) za antivirus. Kama jina linavyojieleza software hizi ni maalumu…
Soma Zaidi...
Android

Je, unataka kuwa na akaunti mbili za Whatsapp, Facebook, Messenger, Instagram katika simu moja? Pata maujanja hapa

Haijawahi kukutokea kutamani kuwa na akaunti zaidi ya moja za Facebook, Whatsapp, Instagram na Messenger katika simu moja? Hujawahi kutamani kuwa na akaunti zaidi ya moja katika tovuti zinazotoa huduma…
Soma Zaidi...
Jipige Tafu

Tatua tatizo la Flash au Diski Hifadhi za nje (External Hard Drives) kudai kuformatiwa kila unapo iweka kwenye kompyuta yako

Imekuwa ni tatizo linalosumbua watu wengi hasa watumiaji wa Flash na Disk hifadhi za nje kwa vifaa hivyo kudai kuformatiwa kila vinapochomekwa katika kompyuta. Mara nyingi unapochomeka vifaa hivi katika…
Soma Zaidi...
Jipige Tafu

Hatua Saba za kufuata kuongeza Speed ya Internet yako kwenye kompyuta maradufu bila ya kuinstall Software yoyote

Jifunze hatua saba rahisi kabisa za kuongeza speed ya internet maradufu kwenye kopyuta yako. Mara tu baada ya kumaliza utaona mabadiliko makubwa kwani speed ya Interneet itakuwa kubwa zaidi na…
Soma Zaidi...