Mtandao

Kivinjari cha Opera kimekuja na huduma ya Low-Power Mode, inayoweza kuongeza uhai wa betri lako mpaka 50%

Watengenezaji wa kivinjari cha Opera (Opera Browser) wametoa toleo jipya la kivinjari hicho lenye huduma ya kupunguza matumizi ya betri mpaka asilimia 50 ukilinganisha na kivinjari cha Google Chrome kama…
Soma Zaidi...