TV

Samsung waja na Friji (Refrigerator) lenye Tv ya inchi 21.5 itakayokuwezesha kufurahia movie wakati unapika

Samsung wameachia rasmi toleo la friji (jokofu) lenye Tv ya inchi touch screen  likiwa na uwezo wa kuvinjari mtandaoni, kuonyesha muvi na kuonyesha tarehe za kuharibika kwa bidhaa zilizomo ndani…
Soma Zaidi...