Karibu SwahiliTech.

SwahiliTech Team inatoa huduma kwa wanachi wote bure bila kuwachaji garama yeyote.

SwahiliTech Team inategemea Matangazo ilikujiendesha, SwahiliTech bado hatujaanza pokea matangazo ya aina zote kwani bado tovuti yetu ipo kwenye matengenezo na uzinduzi rasmi wa project hii bado haujafanyika mara tu baada ya kukamilisha website na mobile application za aina zote tutakaribisha matangazo kutoka kwa wadau wote.
Tunakaribisha michango ya kimawazo zaidi juu ya tovuti hii ya habari za Kiteknolojia andika email yako kwa moja kwa moja kwa founder@swahilitech.com
Karibu Sana.